Ukitaka Kua Karibu Na Allah Lazimiana Na Taqwa – Matunda Ya Kumcha Allah
- Jina la Somo: Ukitaka Kua Karibu Na Allah Lazimiana Na Taqwa – Matunda Ya Kumcha Allah
- Mhusika: Salafussaalih | Njia Ya Wema Waliotangulia | السلف الصالح
- Aina: mp3
- Muda: 17:19 Dakika
- Ukubwa: 6.94 MB
- Kipengele: Khutba Za Ijumaa.
Mzungumzaji: Abu ‘Umeyr ‘Ammaar Ibn Twaahir Shekuwe
Mahali: Masjid Bilal | Mlaleo Toa-Tugawe Kisauni Mombasa Kenya
Tarehe: 06 Shawwal 1446H ~ 04-04- 2025M