Wasia Wa Mtume ﷺ Siku Ya Kuchicha “Hakika Ya Damu Zenu, Mali Zenu Na Heshima Zenu Ni Haramu Juu Yenu”   Hukmu Ya Kukutana Eid Mbili Na Majibu Kwa Sufi Wa Nairobi   Katika Mambo Ambayo Muislamu Afaa Kuyafanya Katika Masiku Haya Ya Eid   Miongoni Mwa Mambo Ya Kufanya Katika Siku Hizi Za Eid   Miongoni Mwa Masharti Na Adabu Za Mwenye Kuchinja Mnyama   Umuhimu Wa Kuichunga Neema Ya Amani Tulionayo Na Nasaha Kwa Wanasiasa Na Wanaharakati   Kujitolea Kwa Ajili Ya Dini Na Kuinusuru Tauhid   Mila Ya Nabii Ibrahim عليه السلام Na Mafunzo Ya Kueneza Amani Ya Nafsi Na Miji   Nasaha Juu Ya Uchamungu, Swala Tano, Kuwatii Viongozi Na Kutahadhari Kunako Shirki, Uzushi Na Maovu Mengine   Nyasia Za Mtume Katika Hijja Yake Ya Kuaga   Neema Za Allaah   Kujipamba Na Sifa Za Wachamungu   Kurudi Kwa Allah Katika Masiku 10 Ya Dhul-Hijjah Na Fadhila Zake   Ukumbusho Juu Ya Safari Ya Akhera   Umuhimu Wa Amani Na Njia Za Kuilinda   Umuhimu Na Ulazima Wa Kufuata Sunnah   Mapana Ya Ibada Na Kulazimiana Na Mafundisho Ya Rasuul   Mahimizo Ya Kutekeleza Amana Iliyokubwa Tulioichukua Kwa Allah   Mji Mtukufu Wa Makkah Na Ibada Ya Hajj   Kumpwekesha Allah Katika Amali Zetu   Umuhimu Wa Kuyatengeneza Majumba Na Kutoa Tahadhari Juu Ya Mambo Yenye Kuharibu Majumba Yetu – 03   Fadhila Za Masiku Kumi Ya Mwanzo Ya Dhul-Hijjah   Kukithirisha Kufanya Amali Njema Katika Masiku 10 Ya Dhul-Hijjah   Ibadah Ya Hajj   Ubora Wa Masiku Kumi Ya Mwanzo Wa Dhul-Hijjah   Fadhila Za Masiku Kumi Ya Mwanzo Ya Dhulhijja   Uwalii Wa Allah Unapatikanwa Kwa Kutekeleza Faradhi Na Kulazimiana Na Sunna   Utukufu Wa Da’awatus Salafiyyah   Mahimizo Ya Kushikamana Na Da’awatus Salafiyyah   Kutahadhari Na Dunia Na Mapambo Yake

 

Tovuti Hii Imejikita Katika Dini Ya Kiislamu Tu. Lengo Kuu La Tovuti Ni Kueneza Uislamu Safi Aliokuwa Nao Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam, Maswahaba Zake Na Wale Waliowafuata Wao Kwa Wema, Ambao Wote Wanatambulika Kwa Jina La السلف الصالح” Wema Waliotangulia. Kutokana Na Hilo Ndio Limepatikana Jina La Tovuti Hii salafussaalih.net.

 

Tovuti Hii Imeanzishwa Mwaka 1439 Hijiria Sawa Na Mwaka 2018 Miladia. Inaendeshwa Na Wanafunzi Vijana Wenye Kujifunza, Kufanyia Kazi Na Kuyasambaza Yale Wanayojifunza Au Kufundishwa Yawafikie Wengine Hasa Jamii Ya Wazungumzaji Wa Kiswahili Inayopatikana Ukanda Wa Afrika Mashariki Na Sehemu Nyingine Za Ulimwengu.

 

Tovuti Hii Inaendeshwa Kwa Hali Na Mali Za Kujitolea Sadaka Wasimamizi Wenyewe, Haifadhiliwi Na Serikali, Na Wala Haifungamani Na Chama Chochote Cha Kisiasa Au Makundi Yaliochupa Mipaka Kama Khawaarij N.k Yasiofuata Qur-aan Na Sunnah Kwa Ufahamu Wa Wema Waliotangulia.

 

Katika Kuchunga Amana Hii Adhimu Tumechagua Kuweka Maudhui Za Uandishi, Picha, Video Na Sauti Ambazo Zimetolewa Na Walimu, Maustadh, Masheikh Au Wanavyuoni Ambao Wamesalimika Manhaj Yao Wakati Wa Kuhudhurisha Maudhui Hizo.

 

Comments are closed.

Ratiba Za Duruus

Takwimu

  • 3
  • 1,730
  • 1,418
  • 1,578,017