Kuwapakazia Ahlu Sunnah (Assalafiyuun) Majina Mabaya Ni Katika Alama Za Watu Wa Matamanio
- Jina la Somo: Kuwapakazia Ahlu Sunnah (Assalafiyuun) Majina Mabaya Ni Katika Alama Za Watu Wa Matamanio
- Mhusika: Salafussaalih | Njia Ya Wema Waliotangulia | السلف الصالح
- Aina: mp3
- Muda: 34:46 Dakika
- Ukubwa: 15.94 MB
- Kipengele: Khutba Za Ijumaa.
Mzungumzaji: Abul Fudhwayli ‘Uthmaan Bin Swiddiyq
Mahali: Markaz Sheikh Haafidh Al-Hakamiy – Morombo Arusha
Tarehe: 13 Safar 1444H ~ 09-09-2022M