Kumfuata Mtume ﷺ Katika Hali Zote – Kudumisha Amani Ni Katika Kumfuata Mtume
- Jina la Somo: Kumfuata Mtume ﷺ Katika Hali Zote – Kudumisha Amani Ni Katika Kumfuata Mtume
- Mhusika: Salafussaalih | Njia Ya Wema Waliotangulia | السلف الصالح
- Aina: mp3
- Muda: 27:09 Dakika
- Ukubwa: 10.88 MB
- Kipengele: Khutba Za Ijumaa.
Mzungumzaji: Abu Abdillaah Aadam Rico
Mahali: Masjid Imaam Ibn Baaz | Mtimkavu Makorora Tanga Mjini
Tarehe: 02 Jumaada al-Uula 1447H ~ 24-10- 2025M