Amekula Khasara Mtu Ambaye Mtume ﷺ Ametajwa Hakumswalia, Imemfikia Ramadhani Hakusamehewa Na Amewadiriki Wazazi Wake Hawakumuingiza Peponi – 01

  • Jina la Somo: Amekula Khasara Mtu Ambaye Mtume ﷺ Ametajwa Hakumswalia, Imemfikia Ramadhani Hakusamehewa Na Amewadiriki Wazazi Wake Hawakumuingiza Peponi – 01
  • Mhusika: Salafussaalih | Njia Ya Wema Waliotangulia | السلف الصالح
  • Aina: mp3
  • Muda: 22:42 Dakika
  • Ukubwa: 9.10 MB
  • Kipengele: ،.

Mzungumzaji: Abu Hirmaas Uweis Iddi

Mahali: Masjid Irshaad – Mtaa Wa Morogoro Ilala Dar es Salaam

Tarehe: 20 Ramadhan 1446H (Kabla Ya Isha) ~ 19-03- 2025M