Majibu Ya Shubha Kuwa “Masalafi Hawasomi Bismillaahi Wakati Wa Kuswali” – Tunasoma Kwa Siri Kama Alivyofanya Mtume ﷺ Na Maswahaba Wake
- Jina la Somo: Majibu Ya Shubha Kuwa “Masalafi Hawasomi Bismillaahi Wakati Wa Kuswali” – Tunasoma Kwa Siri Kama Alivyofanya Mtume ﷺ Na Maswahaba Wake
- Mhusika: Salafussaalih | Njia Ya Wema Waliotangulia | السلف الصالح
- Aina: mp3
- Muda: 22:38 Dakika
- Ukubwa: 5.19 MB
- Kipengele: Mihadhara Na Kalima،Ruduud.
Mzungumzaji: Abu Ahmad Abdul-Rahmaan Awesu
Mahali: Masjid Al-Kauthar – Mambo Sasa Zanzibar
Tarehe: 29 Sha’abaan 1443H (Baada Ya Maghrib) ~ 31-03-2022M