Kuendelea Na Matendo Mema Tuliyoyafanya Baada Ya Ramadhan
- Jina la Somo: Kuendelea Na Matendo Mema Tuliyoyafanya Baada Ya Ramadhan
- Mhusika: Salafussaalih | Njia Ya Wema Waliotangulia | السلف الصالح
- Aina: mp3
- Muda: 31:38 Dakika
- Ukubwa: 14.48 MB
- Kipengele: Khutba Za Ijumaa،Yanayohusiana Na Ramadhani.
Mzungumzaji: Abu Muhammad Hasnuu bin Amuur bin Kombo Al-Zinjibaariy
Mahali: Masjid Muhammad & Khaulah Alqaaz | Mitondooni Kisauni Unguja Zanzibar
Tarehe: 06 Shawwal 1446H ~ 04-04- 2025M