Kuwatahadharisha Watu Wa Sunnah Masalafi Kunako Uhatari Na Madhara Ya Kukaa Na Kuchanganyikana Na Watu Wa Matamanio Wazushi
- Jina la Somo: Kuwatahadharisha Watu Wa Sunnah Masalafi Kunako Uhatari Na Madhara Ya Kukaa Na Kuchanganyikana Na Watu Wa Matamanio Wazushi
- Mhusika: Salafussaalih | Njia Ya Wema Waliotangulia | السلف الصالح
- Aina: mp3
- Muda: 1:06:05 Dakika
- Ukubwa: 26.47 MB
- Kipengele: Mihadhara Na Kalima.
Mzungumzaji: Abu Abdir-Rahmaan Shaafiy bin Mahdiy bin Mustwafa
Mahali: Maahad Salaam – Nyakanyasi Bukoba Mjini
Tarehe: 11 Rabiul Awwal 1445H (Baada Ya Maghrib) ~ 25-09-2023M