Kushikamana Na Sunnah Za Mtume ﷺ Na Tahadhari Ya Kwenda Kinyume Nae
- Jina la Somo: Kushikamana Na Sunnah Za Mtume ﷺ Na Tahadhari Ya Kwenda Kinyume Nae
- Mhusika: Salafussaalih | Njia Ya Wema Waliotangulia | السلف الصالح
- Aina: mp3
- Muda: 18:25 Dakika
- Ukubwa: 7.38 MB
- Kipengele: Khutba Za Ijumaa.
Mzungumzaji: Abu Swalfiyq Swabri Mizza
Mahali: Msikiti Wa Kiwanda Cha Maji Ya Afya Watercom – Kigamboni Dar es salaam
Tarehe: 2 Rabiu al-Awwal 1443H ~ 08-10-2021M